Author: Ray Newsroom

Darkman Davido Aachia Wimbo Mpya “Monica” – Je, Utakuwa Hit Kubwa? Kenya imekuwa ikizalisha vipaji vya ajabu katika tasnia ya muziki, na msanii anayechipukia Darkman Davido anazidi kuthibitisha hilo. Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wake, hatimaye ameachia single yake mpya “Monica”, ambayo tayari imeanza kutamba kwenye vilabu mbalimbali…

Read More